Karibu

Huu ni mfumo kwa ajili ya kusaidia usimamizi wa shughuli za kanisa.Kwa sasa unakuwezesha kufanya yafuatayo.

 1. Kusajili waumini/ washarika pamoja na kutunza taarifa zao
 2. Kutunza kumbukumbu za mapato na matumizi
 3. Uongozi wa juu unaweza kuona taarifa zote waumini/washarika
 4. Uwezo wa kuchapisha taarifa za waumini/washariki
 5. Kutunza taarifa za michango ya kanisa
 6. Kupanga bajeti ya mapato na matumizi ya kanisa
 7. Kuweka matangazo na matukio muhimu katika kanisa.
 8. Kuhifadhi kumbukumbu za mapato na matumizi ya kanisa.
 9. Kutuma ujumbe mfupi wa simu kwa waumini/washariki wote, makundi mbalimbali mfano vijana, wanawake, Wanaume nk
 10. Kupata ripoti ya mapato na matumizi ya kanisa.
 11. Kusaji viongozi wa kanisa.Our patiner